SportIQ@sportiq.tz

Mkeka wako.
Uchambuzi kwanza.

SportIQ inakusaidia kutengeneza slip za mpira, kuchambua booking code na kupitia chaguo za jackpot. Tumia Kiswahili au Kiingereza kwenye simu au kivinjari chako nchini Tanzania.

Anza na slip 2 za bure

SportIQ inafanya nini?

SportyBet, Betpawa, SportPesa na Betika. Upatikanaji wa mechi, masoko na code hutegemea kampuni. Kagua slip katika kampuni yako kabla ya kuweka dau.

Vifurushi vya Tanzania

Watumiaji wapya wana slip 2 za bure. Baada yake, chagua kifurushi:

Malipo kupitia M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money au HaloPesa yanashughulikiwa na Snippe. Bei ya mwisho inaonyeshwa kabla ya malipo. Hakuna kujirudia kwa malipo.

Maswali ya kawaida

Je, SportIQ inaweka dau langu?

Hapana. SportIQ ni huduma ya uchambuzi. Haiweki beti wala kushikilia pesa zako za kubeti.

Je, utabiri ni ahadi ya ushindi?

Hapana. Matokeo ya mpira hayana uhakikisho. Unaweza kupoteza dau lote, hata ukisoma uchambuzi. Usitumie pesa za mahitaji muhimu.

Naweza kuitumia kwenye iPhone au Android?

Ndiyo, tovuti inafanya kazi kwenye kivinjari cha simu. Kwa chaguo za kupakua, tembelea ukurasa wa upakuaji.

Fungua SportIQ